Market Execution (Utekelzaji wa Soko moja kwa moja)

Njia ya utekelezaji wa agizo ambapo agizo hufanyika kwa bei ya sasa ya soko. Ikiwa bei itabadilika wakati wa utekelezaji wa agizo, linatekelezwa kwa bei mpya iliyosasishwa.

Jisajili Jaribu demo ya bila malipo